| 
 1   Ee Mungu nguvu yetu   Ilete baraka kwetu.   Haki iwe ngao na mlinzi   Natukae na undugu   Amani na uhuru   Raha tupate na ustawi 
2  Amkeni ndugu zetu   Tufanye sote bidii   Nasi tujitoe kwa nguvu   Nchi yetu ya Kenya,   Tunayoipenda   Tuwe tayari kuilinda. 
3  Natujenge taifa letu   Ee, ndio wajibu wetu   Kenya istahili heshima   Tuungane mikono   Pamoja kazini   Kila siku tuwe na shukrani. 
 | 
 1  O God of all creation  Bless this our land and nation.  Justice be our shield and defender  May we dwell in unity  Peace and liberty  Plenty be found within our borders. 
2  Let one and all arise  With hearts both strong and true.  Service be our earnest endeavour,  And our Homeland of Kenya  Heritage of splendour,  Firm may we stand to defend. 
3  Let all with one accord  In common bond united,  Build this our nation together  And the glory of Kenya  The fruit of our labour  Fill every heart with thanksgiving 
 |